gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Mimi nilitaka Fanya biashara ya maharage na mchele 2004 toka mbeya,sikuwa najua chochote zaidi ya kuuliza watu jirani waliokua wakifanya,baadhi yao wala hawakuwa wakienda mbeya bali,wanaagiza tu toka darugenini lazima uwe na uzoefu hata kidogo, kwenye kilimo yes ila biashara hapana nakataa
Kaka inaweza kuwa kweli aseee na ukizingatia ni mwanamke wa methali tena 🤔 inawezekana ni methali zakimitego kweli 😅
Manzese njia ya geita?Asante boss kwa kunisahihisha.
Nawakilisha WASUKUMA Kutoka MANZESE KAHAMA - SHY.
Hahahahahakuna biashara huwa inaanza hivyo bwashee, tena kwa mwanamke wa mithali. jaa kwenye mfumo ndo utajua zilikuwa ni nahau
Ndio, njia ya GeitaManzese njia ya geita?
hiyo biashara uliifanya? ulikuwa unauliza tayari ukiwa field au ulikuwa unaitafiti kwanza kabla hujaingia kuifanyaMimi nilitaka Fanya biashara ya maharage na mchele 2004 toka mbeya,sikuwa najua chochote zaidi ya kuuliza watu jirani waliokua wakifanya,baadhi yao wala hawakuwa wakienda mbeya bali,wanaagiza tu toka dar
Napajua hapo, vipi lami tayari?Ndio, njia ya Geita
Mtaa wa Samanga
Usiende msimu ukiwa umeanza! Itakula kwako.. Nenda kasubiri hukohukoAliyewahi kufanya hii biashara ya kununua na kuuza mazao,
Nataka kusafiri kwenda mkoa wa katavi, kipindi cha mavuno maana nimeambiwa huko wanalima sana mahindi,
Nataka kununua mahindi, niweke stoo
Baada ya muda bei zikiwa nzuri niuze
Sasa sina mtu huko,na sina uzoefu wowote,
Nilikua natafiti kupitia hao majirani,nikaamua kufanya biashara ya magogo,huko niliona faida ndogohiyo biashara uliifanya? ulikuwa unauliza tayari ukiwa field au ulikuwa unaitafiti kwanza kabla hujaingia kuifanya
yes wewe ulikuwa sahihi, ila huyo anataka kwenda katavi bila uzoefu wala mtuNilikua natafiti kupitia hao majirani,nikaamua kufanya biashara ya magogo,huko niliona faida ndogo
hahahah! Mwenyewe ni biashara ninayoifanya mpaka now, ila nimehisi mtego kabisa huu nikapita kama siuoni uzi.mh huu umekaa kama mtego
Si kaomba ushauri, miongoni ya kumshauri ni kumpatia mtu huko kataviyes wewe ulikuwa sahihi, ila huyo anataka kwenda katavi bila uzoefu wala mtu
Nina Mwaka sipo Kahama, Kahama naendaga kusalimia wazazi nakurudi Dom kikazi.Napajua hapo, vipi lami tayari?
Atafute mtu mzoefu asije kuuziwa mazao ambayo hayajakauka mwisho wa siku ya kavunda ndani.hahahah! Mwenyewe ni biashara ninayoifanya mpaka now, ila nimehisi mtego kabisa huu nikapita kama siuoni uzi.
mimi pia nafanya hiyo biashara ila sipo huo mkoa, harufu ya mtego nimeisikia mapema tu ngoja tusubiri wakunasa watanasahahahah! Mwenyewe ni biashara ninayoifanya mpaka now, ila nimehisi mtego kabisa huu nikapita kama siuoni uzi.
hapa ukikaa vibaya wawezajikuta umeshajaa kwenye 18 za Mafwele ndo utajua hujui.mimi pia nafanya hiyo biashara ila sipo huo mkoa, harufu ya mtego nimeisikia mapema tu ngoja tusubiri wakunasa watanasa
aende tu atajifunzia field hukohuko sisi wengine tuendelee kutandika tu bia kwenye jiji la Charamila hapa.Atafute mtu mzoefu asije kuuziwa mazao ambayo hayajakauka mwisho wa siku ya kavunda ndani.
Kwenye mahindi all the best ,ila ingekuwa mpunga ningekupa a,b,cAliyewahi kufanya hii biashara ya kununua na kuuza mazao,
Nataka kusafiri kwenda mkoa wa katavi, kipindi cha mavuno maana nimeambiwa huko wanalima sana mahindi,
Nataka kununua mahindi, niweke stoo
Baada ya muda bei zikiwa nzuri niuze
Sasa sina mtu huko,na sina uzoefu wowote,
Hata hiyo siyo vibaya ukinielewesha, naweza kuja pm ?Kwenye mahindi all the best ,ila ingekuwa mpunga ningekupa a,b,c
SAWAmimi pia nafanya hiyo biashara ila sipo huo mkoa, harufu ya mtego nimeisikia mapema tu ngoja tusubiri wakunasa watanasa