Wenye uzoefu na biashara ya mazao naomba ushauri

A
Ahsante Mkuu
 
Nina Mwaka sipo Kahama, Kahama naendaga kusalimia wazazi nakurudi Dom kikazi.

Sijajua kama iko tayari, Barabara ya Manzese, Busoka, Nyambura hadi Segese ilikuwa bado moramu (vumbi)
Ilikua inatengenezwa sijajua kama imeshakamilika
 
Kwenye mahindi all the best ,ila ingekuwa mpunga ningekupa a,b,c
Kama hutojali mkuu unaweza toa mawazo kidogo juu ya biashara ya mpunga,mimi binafsi nahitaji kuanza hiyo biashara msimu huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…