Wenye uzoefu na biashara ya t shirt z manga.msaada

Wenye uzoefu na biashara ya t shirt z manga.msaada

makoma25

Member
Joined
Aug 3, 2016
Posts
10
Reaction score
2
Habari zenu wakuu..nipo mwanza,nna laki mbili na nusu nataka kuanzisha biashara ya kuuza t shirt za manga zenye ku printiwa log tofauti,,wenye uzoefu na hii kazi ushauri wenu plz..
 
Tufanye biashara, tupo dar, agiza tukufungie mzigo, tukutumie huko, na kama unataka ziwe printed kabisa, tutafanya hivyo...
 
Tufanye biashara, tupo dar, agiza tukufungie mzigo, tukutumie huko, na kama unataka ziwe printed kabisa, tutafanya hivyo...
bei inakuwaje,bei ya jumla na pamoja na usafili
 
kuwa makini mkuu usije lizwa
bt kwa bei ya jumla ni sh 6000
 
Back
Top Bottom