makoma25 Member Joined Aug 3, 2016 Posts 10 Reaction score 2 Aug 16, 2016 #1 Habari zenu wakuu..nipo mwanza,nna laki mbili na nusu nataka kuanzisha biashara ya kuuza t shirt za manga zenye ku printiwa log tofauti,,wenye uzoefu na hii kazi ushauri wenu plz..
Habari zenu wakuu..nipo mwanza,nna laki mbili na nusu nataka kuanzisha biashara ya kuuza t shirt za manga zenye ku printiwa log tofauti,,wenye uzoefu na hii kazi ushauri wenu plz..
I imanihope JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 379 Reaction score 89 Aug 19, 2016 #2 DSM moja elfu 6,hiyo bei ya jumla
IPILIMO JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 1,819 Reaction score 801 Aug 20, 2016 #3 Tufanye biashara, tupo dar, agiza tukufungie mzigo, tukutumie huko, na kama unataka ziwe printed kabisa, tutafanya hivyo...
Tufanye biashara, tupo dar, agiza tukufungie mzigo, tukutumie huko, na kama unataka ziwe printed kabisa, tutafanya hivyo...
makoma25 Member Joined Aug 3, 2016 Posts 10 Reaction score 2 Sep 8, 2016 Thread starter #4 IPILIMO said: Tufanye biashara, tupo dar, agiza tukufungie mzigo, tukutumie huko, na kama unataka ziwe printed kabisa, tutafanya hivyo... Click to expand... bei inakuwaje,bei ya jumla na pamoja na usafili
IPILIMO said: Tufanye biashara, tupo dar, agiza tukufungie mzigo, tukutumie huko, na kama unataka ziwe printed kabisa, tutafanya hivyo... Click to expand... bei inakuwaje,bei ya jumla na pamoja na usafili
nyigo Jn. JF-Expert Member Joined Sep 21, 2015 Posts 269 Reaction score 94 Sep 8, 2016 #5 kuwa makini mkuu usije lizwa bt kwa bei ya jumla ni sh 6000