Wenye uzoefu na biashara za Machinga nchini Msumbiji watusanue hapa. (Bidhaa uchukue hapa kwetu mfano, Nguo/urembo)

Wenye uzoefu na biashara za Machinga nchini Msumbiji watusanue hapa. (Bidhaa uchukue hapa kwetu mfano, Nguo/urembo)

babaMike

Member
Joined
Dec 19, 2022
Posts
30
Reaction score
29
Habarini wanajamvi, nimekuwa nikisikia watu wakisifia sana kuwa Msumbiji kuna pesa sana ukipeleka biashara mfano nguo, urembo hata bidhaa za vyakula kama mboga mboga, mtu aliepo huko, au ashawahi ku involve na biashara huko atupe experience hapa.

Nawasilisha.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Duu ngoja ukakutane na RENAMO utapata uzoefu vizuri
 
Kireno kinapanda lakini? Au utauzia tu maeneo ya jirani na Tanzania wanapozungumza kiswahili?
 
Habarini wanajamvi, nimekuwa nikisikia watu wakisifia sana kuwa msumbiji Kuna pesa sana ukipeleka biashara mfno nguo, urembo hata bidhaa za vyakula kama mboga mboga, mtu aliepo huko, au ashawahi ku involve na biashara huko atupe experience hapa.
Nawasilisha.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Unataka kwenda huko?
 
Back
Top Bottom