Unataka kwenda huko?Habarini wanajamvi, nimekuwa nikisikia watu wakisifia sana kuwa msumbiji Kuna pesa sana ukipeleka biashara mfno nguo, urembo hata bidhaa za vyakula kama mboga mboga, mtu aliepo huko, au ashawahi ku involve na biashara huko atupe experience hapa.
Nawasilisha.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kireno mtihani!, mi najua kiswahili na kiingereza tu msee.Kireno kinapanda lakini? Au utauzia tu maeneo ya jirani na Tanzania wanapozungumza kiswahili?
Ujifunze Sasa miezi miwili nonstop ukifika huko mengine utajulia hukoKireno mtihani!, mi najua kiswahili na kiingereza tu msee.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app