Pierre2017
Member
- Apr 16, 2019
- 48
- 28
Habari!Nimekutana na jamaa mtandaoni anasema anauza matokeo ya mechi zilizonunuliwa,yani kuna mechi matokeo yake yanafamahika kabla hazijaingia uwanjani naskiaga hii kitu ipo kwa wenzetu wa nchi za njee kwasbb wao wanawekeza pesa nyingi kwenye huu mchezo..swali langu ni je haya ni ya kweli!?kuna mtu yeyote amewahi kununua na matokeo yakawa kweli!??au ni wezi wa mtandaoni km wezi wengine tu