Ungetueleza zina engine gani kila moja , aidha ya petrol or diesel , kwangu mm cc 3000 diezel ni bora sana kuliko cc 2000 petrol, kama zote hizoni za diesel zitakuwa na engine ya PRADO 1KZ 3.0 Diesel, hakuna tofauti kati ya Alphard ama toyota regius, au GRANDIA , tofauti n kdg tu ni body na taa hasa za nyuma,
mm ninayo GRANDIA diesel 1kz engine zaidi ya miaka 8 bado ni nzuri sana,, very comfortable driving , sijawahi fungua chochote , kwa mwaka nafanya service mara mbili au tatu tu , mafuta wastani wa 10 km kwa litre
Tatizo kwenye njia mbaya usibebe watu zaidi ya 6, tu nzr sana chini ya 4