Wenye uzoefu niagize Toyota Camry au Mark X

Usiagize hata huku KIBITI zipo njoo uchukue kwa bei chee!!.
 
Camry nazikubali sana

Sent from my Iphone 6 using Jamii Forums app
 
Jaribu kuangalia matumizi yako...je ni mtu wa safari za mara kwa mara? Una discipline na culture ya maintenance? Una tambua matumizi sahihi ya chombo unachotazamia ku-purchase? Una uhitaji wa ziada say familia kutumia gari labda kupeleka mtoto shule everyday, ..can you afford day to day running cost za gari Kati ya hizo? ... I'd advice you go for Camry ..but then again naomba nikutoe kabisa kwenye hayo machaguo mawili nikuongezee rav 4 'kili time' au Nissan X-trail.. Sababu gharama zake sio tofauti sana na hizo Ila hizi ni 4WD na durability ni kubwa, reliable pia kuendea hata shamba mara moja moja..day to day cost pia ni average.
 
Camry,sababu napenda tu mwonekano wake..
 
Zote nzuri ongezea na CROWN hapo afu tafuta ipi sahihi ila Mark x angalia maendeo unayopenda kutembelea maana body yake sio ngumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…