Wenye uzoefu nisaidieni

Konakali

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
1,533
Reaction score
266
Kuna rafiki yangu wa karibu, ambaye anataka kuoa, lakini majuzi aliniomba ushauri kama ndoa yake itakuwa salama iwapo yeye si "Fisrt Lover" wa mchumba wake! Anakuwa na wasiwasi kwa kuwa amewahi kuambiwa kwamba mwanamke hawezi kustop permanently an affair na mpenzi wa kwanza under normal circumstance. Je, hii inawezekana? commends from women are highly trusted.
 
Na huyo rafiki yako huyo mchumba wake ndiye ''first lover'' wake? Au na yeye kule alikojifunzia hana mpango nako tena?
 
itamchukua muda mrefu kidogo kupata brand new...je yeye ni brand new as well? cha muhimu ni mapenzi ya kweli, si lazima huyo binti arudi kule alikoacha sana sana awe mbunifu tu, wanawake we are very easy to appreciate true love na kuwa waaminifu.
 
yeye ni brand new???

mtu mpaka wameachana thats means it couldnt work out, walishindwana ndo maana wakaachana!!!

napingana kabisa na suala zima la kusema mwanamke huwa 'haachi'. tena sisi tukitapika tumetapika huwa haturudishii uchafu tumboni!!!!
 
Aliyekojolea/Kojolewa wa kwanza kabisa kuna ugumu gani wa kumuacha na kumsahau na kufuata maisha yenu na mnayekojozana?
 
naona kama jamaa yako sio muoaji vile.
Kwani huyo bintio ni msichana wake wa kwanza?
Mpiganaji kwake vita ni mbele kwa mbele,
mtu kutoka nje ya ndoa ni hulka yake binafsi.
 
HUYU NAE ATAKUFA NA WIVU
mwambie aoe tu kwani wote waliokwenye ndoa wale walionao ni mafesti lover?
 
acha kuishi kwa historia kwa dunia ya leo, huwezi kupata mnwanamke utakae kuwa wa kwanza wewe kwa 95.7% you have to close your masikios for the old stories
waliokuwa wapenzi wetu wameolewa na tuliokuwa wapenzi wao tumeoa na hakuna kitu cha namna hiyo, akishindwa huyo umeoa mke wa mtu, kwa dunia ya sasa uanapokuwa na wake watatu ujue kuwa una waume wenza wawili,
 
itamchukua muda mrefu kidogo kupata brand new...je yeye ni brand new as well? cha muhimu ni mapenzi ya kweli, si lazima huyo binti arudi kule alikoacha sana sana awe mbunifu tu, wanawake we are very easy to appreciate true love na kuwa waaminifu.

pia very easy kuachia mtunda matunda yaliwe!!!!!!! tetteteteeeeee
 
hapo unafunika bovu tu, ungejua watu wanavyojinafasi na mademu wao wa zamani, ungewaomba radha wanaJF woote kwa kuwafanya watoto wadogo leo
 
huyo jamaa hajaamua kuoa ila ana-search background information atengeneze research problem ambayo akisha analyze data na kutengeza baadhi ya conclusion/generalization, atarecommend kufikiria kuoa ama vinginevyo.

kuna kademu fulani nilikafungua miaka ya 90 sasa kameolewa na kajamaa fulani kako ttcl. kidemu kwa sasa kimekondaaaaaaa, sijui kina ukimwi au ndo wakina magese. wala sikitamani tena labda kinibake!!!!
 
Na huyo rafiki yako huyo mchumba wake ndiye ''first lover'' wake? Au na yeye kule alikojifunzia hana mpango nako tena?

Thank you for your concern, but I have to forward this question to him, then you will have an answer very soon.
 
Asiwe na wasiwasi, kikubwa ni kuwa mbunifu!
 
itamchukua muda mrefu kidogo kupata brand new...je yeye ni brand new as well? cha muhimu ni mapenzi ya kweli, si lazima huyo binti arudi kule alikoacha sana sana awe mbunifu tu, wanawake we are very easy to appreciate true love na kuwa waaminifu.

Thank you, and I hope he will do
 
Aliyekojolea/Kojolewa wa kwanza kabisa kuna ugumu gani wa kumuacha na kumsahau na kufuata maisha yenu na mnayekojozana?

Hudaiwa kuwa ni vigumu sana kumsahau mwalimu wako wa kwanza kwa mafunzo yake.
 
Du! "kwa dunia ya sasa unapokuwa na wake watatu ujue kuwa una waume wenza wawili"! Basi kazi kweli kweli.
 
hapo unafunika bovu tu, ungejua watu wanavyojinafasi na mademu wao wa zamani, ungewaomba radha wanaJF woote kwa kuwafanya watoto wadogo leo

eventually tutafika tu!!!! hata mia huanza na moja!!!
 
HUYU NAE ATAKUFA NA WIVU
mwambie aoe tu kwani wote waliokwenye ndoa wale walionao ni mafesti lover?

Tena mwambie asiombee mambo ya festi love! Ni balaa tupu kwa unstable partner! n inaelekea ni mtu asiyejiamini; yeye aangalie kilichomleta pale na kung'ang'ania hicho hayo mambo ya asali imetengenezwaje ataila kweli?

Nini first love; watu tumeoa waliozalishwa na tunafaidi kuku kwa mrija!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…