hapo unafunika bovu tu, ungejua watu wanavyojinafasi na mademu wao wa zamani, ungewaomba radha wanaJF woote kwa kuwafanya watoto wadogo leo
Ni vigumu kuamini kama inawezekana kuwa eti wakitapika hawarudishi matapishi tumboni. Itakuwaje ukamsahau mwalimu wako wa kwanza, aliyekutoa kwenye ulimwengu fulani hadi mwingine! Labda wasikutane mahali panapofaa.
Hii utaiweza kama wewe ni Masikini Jeuri kweli.
Na huyo rafiki yako huyo mchumba wake ndiye ''first lover'' wake? Au na yeye kule alikojifunzia hana mpango nako tena?
...Mkuu, unajua wengi wetu wanaume huwa tuna asili ya uchoyo. Uchoyo kwa maana kuwa unajisikia raha sana kama demu ukimuanza mwenyewe, lakini kwa wale ambao tayari watu wengine walishapita tunakuwa inferior sana. Kumbe yote ni maisha uwe ulimbikiri mwenyewe au umekuta amebikiriwa muhimu ni mapenzi. Na ndio maana chunguza sana watu wengi ambao wanafumania wake/mademu zao kinachopelekea kufanya vurumai si kitendo cha kujua tu kuwa jamaa anamega demu wake bali anajaribu kujenga picha kama yeye mwenyewe akimega demu wake anavyochacharika mtoto kwa miguno/vilio na makeke mengine leo mambo hayo aone anapata mtu mwingine lazima anakuwa mbogo siku zote tunapenda tufaidi sisi tu. Tofauti na wanawake hata kama atajua jamaa ana demu mwingine hisia kuwa jamaa may be atakuwa anampa mjengo demu mwingine haimo sana zaidi atakuwa na hisia zile za kuona kuwa huenda huyo demu mwingine huko atakuwa anapewa mapenzi ya kiwango cha juu (sio sex) kwa maana ya care anayopata huyo mwanamke mwingine e.g. upendo, utani, zawadi, handling etc.Aliyekojolea/Kojolewa wa kwanza kabisa kuna ugumu gani wa kumuacha na kumsahau na kufuata maisha yenu na mnayekojozana?
HUYU NAE ATAKUFA NA WIVU
mwambie aoe tu kwani wote waliokwenye ndoa wale walionao ni mafesti lover?
As you based on gender I hope they will be good to you in advisory.Kuna rafiki yangu wa karibu, ambaye anataka kuoa, lakini majuzi aliniomba ushauri kama ndoa yake itakuwa salama iwapo yeye si "Fisrt Lover" wa mchumba wake! Anakuwa na wasiwasi kwa kuwa amewahi kuambiwa kwamba mwanamke hawezi kustop permanently an affair na mpenzi wa kwanza under normal circumstance. Je, hii inawezekana? commends from women are highly trusted.
huyo jamaa hajaamua kuoa ila ana-search background information atengeneze research problem ambayo akisha analyze data na kutengeza baadhi ya conclusion/generalization, atarecommend kufikiria kuoa ama vinginevyo.
kuna kademu fulani nilikafungua miaka ya 90 sasa kameolewa na kajamaa fulani kako ttcl. kidemu kwa sasa kimekondaaaaaaa, sijui kina ukimwi au ndo wakina magese. wala sikitamani tena labda kinibake!!!!
[/B][/COLOR]
Mbona hujaulizwa juu hilo mkuu?, mwenzio kampenda kwa hiyo figa uihisiyo visivyo!🙄
Hata kwa mafirst ladies, their husbands are not first lovers! Du, hapo patamu! Lakini ni raha sana unapokuwa first lover wa mkeo. Mimi najua!