Mwanamke kamili thread kam hizi ni za watoto hebu waachie uhuru nao waweze kujiona kwamba Internet inawapa manufaa!!...hebu njoo kwa pm au kwenye mawasiliano mbadala i need ur word.Ujinga mwingine. . . .
Sasa kama ni mtoto mwenzio unashindwaje kumuelewa? Akili zenu si zinafanya kazi sawasawa?
Eti jaman,nyie hawa mabinti mnawezaje kuwahandle?maana mie huyu kipoozeo wangu hata simuelewi,kitu kdogo kananuna cku nzima,mkiongea hvi leo,kesho kamechange,yan kila kitu kwake ye kiko zigzag!!ebu nipen maujanja kidogo,maana leo nimeudhka hadi nikatamani kukalamba makofi..
Mwanamke kamili thread kam hizi ni za watoto hebu waachie uhuru nao waweze kujiona kwamba Internet inawapa manufaa!!...hebu njoo kwa pm au kwenye mawasiliano mbadala i need ur word.
asa kama huna uzoefu wa kudate na hao watoto wa dezain hyo,si ungejipitia kimya kimya tu.
Sasa wewe dogo hii ni mada gani? kwa nini mnatuharibia hii forum?.....sio lazima uazishe thread kama hauna kitu cha msingi cha kushare na members humu, huu ni upumbavu unaleta hapa.acha kuhema hema.rudi kwenye mada.
Eti jaman,nyie hawa mabinti
mnawezaje kuwahandle?maana mie huyu kipoozeo wangu hata simuelewi,kitu
kdogo kananuna cku nzima,mkiongea hvi leo,kesho kamechange,yan kila kitu
kwake ye kiko zigzag!!ebu nipen maujanja kidogo,maana leo nimeudhka
hadi nikatamani kukalamba makofi..