Wenye uzoefu wa kufanya kazi za uhasibu katika kanisa..!

Wenye uzoefu wa kufanya kazi za uhasibu katika kanisa..!

twende kazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,520
Reaction score
461
Wakuu ni roles zipi anakuwa nazo mhasibu mwenye ngazi ya diploma iwapo ameajiriwa ktk kanisa?Example books ambazo atatakiwa kumaintain au accounting software used..Naomba kuwasilisha..!
 
hebu funguka kijana maana huko ndio nilianzia kupata experince ya kazi tena bure bila mshahara 3 years
description hua anatoa muajiri
ila soft ware inategemea,mfano makanisa ya sda official software ni sunsystem ila ni ngumu kidogo
accpac nayo ni nzuri ,ila kama acconts sio complicated tumia excel tu!
ila nakushauri tu kama kazi ya kanisa fanya bure bila malipo mungu atakusaidia ata katika shughuli nyingine
sababu mchungaji wangu aliniambia hii kazi unayoifanya ifanye kama ibada sio ajira wala tempo nawe utabarikiwa
nashukuru alinisaidia sana,mpaka sasa nafanya shughuli zangu ila mara moja moja napitia pitia vitabu vyao kuwasaidia
 
Hallo Obama wa bongo mwenyewe naomba ufafanuzi wako hapa kutokana na uzoefu wako wa kutumia hizo acc software vipi zinatofautiana sana na microsoft excell,na unaweza ukajisomea mwenyewe.
Na la pili kutokana na uzoefu wako utakuwa unazifaham Auditing&accounting firms or NGO ambapo unaweza kuwa registered kwa ajili ya kupata uzoefu...lakini wakakufikiria labda nauli.

Ahsante
Nawasilisha
 
Back
Top Bottom