hebu funguka kijana maana huko ndio nilianzia kupata experince ya kazi tena bure bila mshahara 3 years
description hua anatoa muajiri
ila soft ware inategemea,mfano makanisa ya sda official software ni sunsystem ila ni ngumu kidogo
accpac nayo ni nzuri ,ila kama acconts sio complicated tumia excel tu!
ila nakushauri tu kama kazi ya kanisa fanya bure bila malipo mungu atakusaidia ata katika shughuli nyingine
sababu mchungaji wangu aliniambia hii kazi unayoifanya ifanye kama ibada sio ajira wala tempo nawe utabarikiwa
nashukuru alinisaidia sana,mpaka sasa nafanya shughuli zangu ila mara moja moja napitia pitia vitabu vyao kuwasaidia