kama una kitambi njia rahisi ya kukiondoa niHabarini wadau. Nimeona nianzishe uzi huu ili kusaidia wanaume na wanawake wenye tatizo la kitambi yaani tumbo kubwa lenye mafta mafta ili muweze kushauriana namna yakukipunguza kama sio kukitokomeza kabisa kama dengue. Hebu shaurianeni hapa ili kuboresha afya ......
na kisukari kitakutunza vema zaidi mkuuHii inanihusu ila kinanipa heshima mjini nahudumiwa first. Ngoja nikitunze maana hii ndo tofauti yangu na wengi
kwani nawewe mwenzetu?Habarini wadau. Nimeona nianzishe uzi huu ili kusaidia wanaume na wanawake wenye tatizo la kitambi yaani tumbo kubwa lenye mafta mafta ili muweze kushauriana namna yakukipunguza kama sio kukitokomeza kabisa kama dengue. Hebu shaurianeni hapa ili kuboresha afya ......
tofauti yako ni utapiamlo ndo unajisifu??Hii inanihusu ila kinanipa heshima mjini nahudumiwa first. Ngoja nikitunze maana hii ndo tofauti yangu na wengi
umerudisha kadi, tupe ujuzi wenzako tunaotaka kurudisha huku supu na ktmoto tunapenda.Hapana ila nilishakua nacho
Mwanzo nilianza kama utani nili download application moja hivi playstore ya kuhusu diet nikawa naifuata ndani ya wiki tatu nilianza kuona matokeo nikajiunga na gym moja mjini nikawa jioni naenda nafanya maerobics na mazoezi mengine ndani ya miezi nane sina kitambi kabisaaa ila chamsingi ni ulaji jiwekee limit katika ulaji kumbukakuwa YOU ARE WHAT YOU EAT. Mdomo ni kitu kidogo sana lakini ndio nlkinaweza kukufanya uonekane kitukoumerudisha kadi, tupe ujuzi wenzako tunaotaka kurudisha huku supu na ktmoto tunapenda.
Jina lako tu ze big, bila shaka nawe mmoja wapo.. Unaomba msaada kijanja mkuuHabarini wadau. Nimeona nianzishe uzi huu ili kusaidia wanaume na wanawake wenye tatizo la kitambi yaani tumbo kubwa lenye mafta mafta ili muweze kushauriana namna yakukipunguza kama sio kukitokomeza kabisa kama dengue. Hebu shaurianeni hapa ili kuboresha afya ......
Kwani wewe kweli ndie makaveli maana nijuavyo mimi makaveli alishakufagaJina lako tu ze big, bila shaka nawe mmoja wapo.. Unaomba msaada kijanja mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sema tu km una tatzo la kitamb watu wakusaidie. Si jambo la ajabu sana. Tumeumbwa tusaidiane.
Mkuu afadhali yako mimi hata kupiga Makofi siwezi hua inanibudi nipigie kwa nyuma hahahaHii inanihusu kufunga kamba za viatu siwezi