Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

Mbalizi anakuelewa sana ,hata jana kuna uzi mmoja hadi akanifata PM akanambia huyu mwanamke namkubali. Sasa kwasababu mimi naww tulikua hatupatan. Nikakuponda.

Naomba unisamehe ila mkuu anakuelewa.
[emoji6]
Mimi na wewe kwa nini tulikua hatupatani[emoji23] [emoji23] [emoji23] I never knew that!!!!
 
Kwasababu mnawachamba sana wanaume pamoja na mtu anaitwa kritka ,,ndomaana nilimwambia jamaa live , Ray siku ukimuudhi atakufungulia uzi..nibora upige kimya tuuu[emoji3]

Unajua sisi wanaumw tunaambizanaga ukweli tuu .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nshawahi wanaume kuwachamba looh![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani mie sikujua kama wengine itawakwaza poleee!

Huo upuuzi sinaga miye hata km nimeliwa sisemi na nikiachwa silalamiki!

Huo utoto sina!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…