Ndiwoooo kwa kunikubalia ombi langu jamaniKwahiyo hutu tubusu ndio zawadi yako kwangu?
Jf nzima kuna mwanamke mmoja tu akikuchamba lazima ukajisafishe kwa maji ya bahariSawa ila iwe kwa mazingira ya kutuheshimu jaaaman...khaaakkkh
Kritka anachamba utazan km aliumizwa daahhh
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mimi ni sawa na wale nyuki wadogo huwa hawaumi lakini asali yao hakuna mfanowe dunia nzima
Nani huyoJf nzima kuna mwanamke mmoja tu akikuchamba lazima ukajisafishe kwa maji ya bahari
Ww pia umo na dada yako na wengineoList yako kuna nani na nani
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wahenga oyeeeWw pia umo na dada yako na wengineo
Ujue huendani kbs na uchoyo hlf haukufai na haukupendezi kbs[emoji23] [emoji23]Ndiwoooo kwa kunikubalia ombi langu jamani
Mdomo wangu umebaki wazi wallah.... tehteehhh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Madam B kiboko yule hakuna mfanoweNani huyo
Sema kweli kwahiyo unataka niwe mali ya umma sasaUjue huendani kbs na uchoyo hlf haukufai na haukupendezi kbs[emoji23] [emoji23]
Oyeeeeeeeeeeeeee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wahenga oyeee
Mgumba akipata mimba mtaa mzima unajaa mate [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mdomo wangu umebaki wazi wallah.... tehteehhh
Kweli kabisaMadam B kiboko yule hakuna mfanowe
WoyoooooooooOyeeeeeeeeeeeeee
Unaijua asali ya nyuki wadogo?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Naona shuzi limepata mjambaji, sasa tutarajie nini mkuu....[emoji13] [emoji13] [emoji13]Mgumba akipata mimba mtaa mzima unajaa mate [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule hata post na comments zake ni kwenda nazo kwa tahadhari sanaKweli kabisa
HahahahaaaaaaWoyooooooooo