[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ombi lako litafikiriwa kwa kinaNa mie nioe undugu ukue
Moyo wako unaona soni?Unamnyimaje mtu kitu unacho bana unapata dhambi za bure tu
Ni story... Lakini kifupi chake ni hicho kipunda kwa sababu ni kidogo hakipati kitu kinabakia kuugulia tu kukiona wenzie wanafaidi mema ya nchiUkimaanisha
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]We Cheka tuu!nyaku nyaku wapo na wanaiba kweli
We mwenyewe watafutwa... Halafu Wajifanya watafuta [emoji16][emoji16][emoji16]Waibe tu natafuta mwingine
Mhhhhhh... Ni mjukuu wangu huyu au mwengine... Ebu Ngoja nilete ile miwani yangu!!! [emoji16][emoji16][emoji16]Unamnyimaje mtu kitu unacho bana unapata dhambi za bure tu
Mjukuu wanguuuuuu.... Mimi sio kibogoyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Acha tutafunwe
Jamani mm tena mzee wa ushuani moyo wangu unaonaje soni jamaniMoyo wako unaona soni?
Wooooooooooozeeeer[emoji23] [emoji23] [emoji23] toa upewe tena kiongezwe
Sina nilichoelewa shunie mm jamaniNi story... Lakini kifupi chake ni hicho kipunda kwa sababu ni kidogo hakipati kitu kinabakia kuugulia tu kukiona wenzie wanafaidi mema ya nchi
Hapana mbebez wangu ananitosha hata wakimuiba mm ni wake na yeye ni wanguWe mwenyewe watafutwa... Halafu Wajifanya watafuta [emoji16][emoji16][emoji16]
Kumnyima ni kwa mbebez wako tu sio mali ya umma hii kila mtu anapewa anapewa mmoja tuMhhhhhh... Ni mjukuu wangu huyu au mwengine... Ebu Ngoja nilete ile miwani yangu!!! [emoji16][emoji16][emoji16]
KhaaaaMjukuu wanguuuuuu.... Mimi sio kibogoyo
Kumnyima ntu kitu ,ungali unacho moyo wako waona soni ,Hahaha ,kiduka cha Mangi vipi ?Jamani mm tena mzee wa ushuani moyo wangu unaonaje soni jamani
Msimamo mzuriHapana mbebez wangu ananitosha hata wakimuiba mm ni wake na yeye ni wangu
Sawa mjukuu wanguKumnyima ni kwa mbebez wako tu sio mali ya umma hii kila mtu anapewa anapewa mmoja tu
Basi bwana nisije nikaharibu mood yako ukalala hovyo bureeKhaaaa
Uko na nini we babu
Hahaha ya kweli haya?Kumnyima ni kwa mbebez wako tu sio mali ya umma hii kila mtu anapewa anapewa mmoja tu