Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahaha,Mke sina ,halafu mie mlinzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mzee wa ushuani kwa shayo kupo wazi halafu wewe kwa nini popo jamani hivi huna mke
Amekwambia?Kashasamehe
Ulikuwa hujui?[emoji2] [emoji2] [emoji2] kumbeee!!
Kukuvuruga natamani sana... Lkn hujanipa hio nafasi mjukuu wangu!!!Ndio we ni babu yake shunie lakini kuna mda uko unapenda kunivuruga
Umeamka swalama mjukuu wangu?Asante babu yake shunie na kwako pia
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nimeshakusamehe jamani khaa we babu una gubu
Basi sawa... Utakuwa balozi mzuriNdio
Angalia usiharibu mambo Rey[emoji23] [emoji23] [emoji23] babu na mwijukuuu
Umeamka swalama mjukuu wangu?
Na hiyo nafasi huwezi pataKukuvuruga natamani sana... Lkn hujanipa hio nafasi mjukuu wangu!!!
Na uhenga wote huo usiniambie huna mkeHahaha,Mke sina ,halafu mie mlinzi
Balozi wa nn etiBasi sawa... Utakuwa balozi mzuri
[emoji3] [emoji3] [emoji3] hakiishagi utamu
Mwenzangu we acha tu,natafuta mhenga mwenzangu tumalizie uzee sipati,naishia kukesha tu ,dukani kwa ShayoNa uhenga wote huo usiniambie huna mke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwahiyo zako kuokota okota ukikutana nao huko dukani kwa shayoMwenzangu we acha tu,natafuta mhenga mwenzangu tumalizie uzee sipati,naishia kukesha tu ,dukani kwa Shayo
Umeamua kuniuza kama sakayo na wewe bila mwenyewe kutakaHapana huyo hana shida hata kidogo