Haya bana,we nisimange tu,mie ngoja nijiandae kwenda kwa Shayo
Ujue leo pia nimeacha wazi nimemchekesha sakayo huko hana mbavu[emoji57] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji57]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] ngoja niweke tangazo nifungue thread kabisaa!!!!
Ndo nshanunaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji23] kidhuri kula na nduguyooJamaniii!!msininunie ntakosa shostii!!!wa umbea[emoji2] [emoji2] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Khaaaa[emoji6] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Mchele mmoja mapishi tofauti.….!!!!
YaaaniNiko namsubiri
Sasa naomba uendelee naeNajikumbusha tu kuopoa babez!!
Muone kwanza[emoji57] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji57]
We pita pale kwa shayo utanikuta ,mie niko kuanzia taarifa ya habari mpk mida ya kula dakuSikusimangi bana tunaenda wote au
MhWe pita pale kwa shayo utanikuta ,mie niko kuanzia taarifa ya habari mpk mida ya kula daku
Sasa naomba uendelee nae
Khaaaa
Hebu nipe mbebez wako na mie nimuonje sasa
Nawasindikiza,mida ya daku ndio mida ya sie mapopo [emoji12]Mh
Lini umekuwa muislamu
KabisaaaHahhahahahha
Ndiwooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nini hicho kiko wazi etiKwa nini umeacha wazii...si waje?