HahahahahaKuna kababu flani hivi sijui clorokwini, kuna kajamaa kengine tena..yani tafrani shem
AiseeeNa mm niko namsubiri shem wangu awataje
Ewaaaaa[emoji8] [emoji8] [emoji8]Basi ondoa shaka, wewe na mimi[emoji127][emoji131]
Kumbe hujui navoumia eeh, basi hunipendi, ungenipenda ungejua unavotesa mtima wangu. Mhenga ka mimi sitangazi, naumia roho tu yaniHahahahaha
Kajamaa gani aki
[emoji8][emoji8][emoji7] haya njoo tumalizie bifu letu na gwaride la usiku..teh teh! Unajua vile mkikosana mnavyopatana eeehEwaaaaa[emoji8] [emoji8] [emoji8]
Sio kweeli
Hebu aumie nimuone aki
Roho tena rafiki?ukiniita rafiki tu inatoshaBwana nimekuzoea ujue nikuiteje jamani we muhenga kila jina hutaki au unataka roho yangu
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Naomba unisamehe jamanii Eli79 wa mimi apa!!Kumbe hujui navoumia eeh, basi hunipendi, ungenipenda ungejua unavotesa mtima wangu. Mhenga ka mimi sitangazi, naumia roho tu yani
Asante shem tena nyie wa kuumia ndani kwa ndani mnaumia sanaKumbe hujui navoumia eeh, basi hunipendi, ungenipenda ungejua unavotesa mtima wangu. Mhenga ka mimi sitangazi, naumia roho tu yani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sawa rafiki mbona umeshtuka kuhusu rohoRoho tena rafiki?ukiniita rafiki tu inatosha
Woyoooo[emoji8][emoji8][emoji7] haya njoo tumalizie bifu letu na gwaride la usiku..teh teh! Unajua vile mkikosana mnavyopatana eeeh
MmmhAnajikaza anaumia sana kwa ndani
KhaaaaAcha shem atoe nyongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Woyoooo
Hebu tundoke tuu sasa my one
Mmmh
We kwa uchochezi nakupa miaAsante shem tena nyie wa kuumia ndani kwa ndani mnaumia sana
Mmh mambo ya kuchukua roho ya MTU ,hapana ,rafiki kwani we unataka roho yangu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sawa rafiki mbona umeshtuka kuhusu roho
Khaaaa
Wataniua na nyongo zao