Kaandike tuYaani nina hoja nzito sema kuandika sasa
Mzee mwenzangu mie kisu changu makali yake km kisu cha mgema ,unajua makali yake,lkn mzee mwenzangu acha nijenge taifa hapa kwa shayoSijuimimi... mi nachojua mwenye kisu kikali ndo hula nyama nono...
Wewe sio wa kuniambia mimi hivyo... mimi siambiwi hiyo... Sijaribiwi.
Mzee mwenzangu mie kisu changu makali yake km kisu cha mgema ,unajua makali yake,lkn mzee mwenzangu acha nijenge taifa hapa kwa shayo
Haya Jenga taifa changa hili... msalimie Rose hapo.Mzee mwenzangu mie kisu changu makali yake km kisu cha mgema ,unajua makali yake,lkn mzee mwenzangu acha nijenge taifa hapa kwa shayo
Wewe hupasi kuniambia, wewe unapokea taarifa kutoka kwangu.... Baaas!Sasa babu ulitaka nikwambie vipi
JamaniMahaba niue...
HahahaWewe sio wa kuniambia mimi hivyo... mimi siambiwi hiyo... Sijaribiwi.
Nimeamua kumwachia Mungu...Jamani
Mie siwezi....Kaandike tu
Kuhusu nini tena jamaniNimeamua kumwachia Mungu...
Niko kwa Shayo ,tunapigiana hesabu za kidaftali huku safari lager inashuka, si unajua tarehe hii hz,RafikiUnaenda wapi tena rafiki
Sawa babuWewe hupasi kuniambia, wewe unapokea taarifa kutoka kwangu.... Baaas!
Niko kwa Shayo ,tunapigiana hesabu za kidaftali huku safari lager inashuka, si unajua tarehe hii hz,Rafiki
Hahaha ,Rose kaisha lala mapema Leo nadhani kesho anahitajika kwa mkoloniHaya Jenga taifa changa hili... msalimie Rose hapo.
Karibu au unamuogopa Babu?Sawa rafiki enjoy
Karibu au unamuogopa Babu?