Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Shayo tushamalizana,we njoo tu ,tuanze daftali jipya,una kunywa ya moto au baridi?Asante rafiki sasa na mm nije wote tuandike kwenye daftari la shayo babu simuogopi mchepuko wa dada angu sakayo
Nakuja rafiki nakunywa ya baridi sanaShayo tushamalizana,we njoo tu ,tuanze daftali jipya,una kunywa ya moto au baridi?
Kivipi yani?Kumbe mwajuana eehh!
Kazi nzuri baloziKuiba sio dhambi[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125]
Sawa amenielewa lakini mm niko na mbebez jamani
UkujeKumbe makapuku kuna mambo mazuri eeeh
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Shunie usimfanyie hvyo mwenzio bwanaa babu kakuelewaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2]
Nani Amekwambia hela zimeisha... Ebu mpe namba Rey antumie uoneUjana wake ale naniiii uzee sasa hivi aje kumsumbua shunie tuchemshiane maji ya moto kwenye kuni mahela yashaisha uko kabaki babu na msuli wake nani anataka hizo shida
Wewe mtoto[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Yaani hapa hela utapata na mautamu utapataSakayo kamwambia atume mahela kakimbia sasa si nitakutana na babu na msuli wake na singlend nyeupe na kiti chake cha mbao cha kujilaza cha kupunga upepo babu niache mie
Nani Amekwambia hela zimeisha... Ebu mpe namba Rey antumie uone
Wewe mtoto[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Yaani hapa hela utapata na mautamu utapata
Ebu mweleze aelewe huyo mjukuu wanguHaijalishi ujana kala nani bwanaa!wazee ndo wazuri wanalea haooo!.
Shauri zako
Ujana wake ale naniiii uzee sasa hivi aje kumsumbua shunie tuchemshiane maji ya moto kwenye kuni mahela yashaisha uko kabaki babu na msuli wake nani anataka hizo shida
Ebu mweleze aelewe huyo mjukuu wangu
Aniogopee nini kwa mfano wakati mi sina nguvu tena ya kumcharaza bakora?Karibu au unamuogopa Babu?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]...Eli wewe c ni wa SakayoYeye umemkubalia ajaribu bahati yake, mimi hata kushika mkono wangu kwa salam tu hutaki.[emoji16]
Try ur luck!!u never know!
Kumbe??Ameniambia mmeachana eti
Mpe namba Rey antumieMzuri na kulea awe na mahela sasa
Hahaaha we babu wewe ebu niache mieMpe namba Rey antumie
Kumbe??