mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,919
Mwambie akupe namba unitumie aone mahela ninayo au sina[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] eti babu hela hunaa,!
Waringia msuli!!!+
Ukuje kweliNitarudi
HahahaAniogopee nini kwa mfano wakati mi sina nguvu tena ya kumcharaza bakora?
Mwambie akupe namba unitumie aone mahela ninayo au sina
Basi mi namuachia shetani asemezane naeNdiwoo babu
Umepata aweke ngapi?Nakuja rafiki nakunywa ya baridi sana
Umepata aweke ngapi?
Basi mi namuachia shetani asemezane nae
Hmmmmm sijui..... Labda mashavuNini hicho kiko wazi eti
Umfanyeje?Ndo namtakaa
Nije wapi mjukuu wangu?Njo nikupe na ole wako usitume
Nije wapi mjukuu wangu?
SiweziiiiHahaaha we babu wewe ebu niache mie
Sawa umepata na tatu za kuondokea unawekewaAniwekee 5 rafiki
Sawa umepata na tatu za kuondokea unawekewa
Wewe tu rafiki yangu,hii yote usinitoe roho tu [emoji12]Woyoooooo
Sawa rafiki angu
Wewe tu rafiki yangu,hii yote usinitoe roho tu [emoji12]
Hahaha, anakuulizia hapa ,mbn hufiki ,namwambia uko njiani ,kaishakuwekea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Roho yako baki nayo rafiki me acha nijinywee beer kwa shayo
Hahaha, anakuulizia hapa ,mbn hufiki ,namwambia uko njiani ,kaishakuwekea
Hahaha, mie hapa kwa Shayo ndio nishafika mpk alfajiri ,wewe tu,ila angalia Shem ratiba yake hii,mwenzio mie senior BachelorNafika rafiki si unajua huku kwetu uswazi kulivyo mbali endelea tu kunisubiri