Nawapa pole ndugu zangu, jamaa zangu na marafiki kwa ujumla. Pia nawapa ushauri kuwa Dar kuna maeneo mengi wanayoweza kufanya biashara ya mayai pia. Wasijirundike sehemu moja(Gongo la mboto), wasambae maeneo mbali mbali ya jiji ili kuepusha kutokea maafa makubwa zaidi kwa watu wa jamii moja.