Wenye wapenzi vyuo vikuu, ukiyaona haya kaa tayari...

pole sana mdogo wangu, mapenzi ya sasa ni soko huria
 

hivi ni kweli eh? nasikia wengine wanalala na lecturers ili wapitishwe kiulaini mh😱hwell:
 

Ahsante. chakushangaza kwao life lakawaida sana lakini anataka vitu vya juu. kibaya zaidi kumpotezea mtu mda inakela kinoma, if is less 1yr fine but kama more than 5yrs alafu mtu anakuzenguwa inabowa sana. ndiyo maana sasa sitaki watoto wa vyuo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…