Wenye wazo la Lodge/Nyumba ya Wageni - Vitanda Vinapatikana

Wenye wazo la Lodge/Nyumba ya Wageni - Vitanda Vinapatikana

Kafiti

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
537
Reaction score
220
Kwa anayehitaji kufungua nyumba ya kulala wageni, vitanda vinapatikana vilikuwa vikitumika kwa shughuli hiyo ila mfanyabiashara amepata wazo jingine na anahama hilo eneo.
Vipo vya size tofauti tofauti kuanzia 6*6 mpaka 3*6 .
Kwa anayehitaji kuanzishia biashara yake fursa ni hiyo hapo na bei yake ipo chini kidogo.

Nyumba haipangishwi,

Vinapatikana Dar, Temeke
0684 141 476
 
Back
Top Bottom