Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Weka hapa hapa mkuu, tulipimeTunaweka hapahapa wazo au PM
Weka hapa hapa mkuu, tulipime
Iko vizuri,na inachukua muda gani mzigo kuisha?VITINI
100,000 naongeza kwenye Biashara yangu ya vitini.
100,000 Tzs na Publish vitini 200 kila kitini kwa 500 Tzs.
Kitini kimoja nauza 1,500 Tzs sawa na 300,000 Tzs kwa vitini 200.
300,000(mauzo)-100,000(mtaji)= 200,000 Faida.
Yangu 120,000 Tzs
Yako 80,000 Tzs
Vitini 200 napeleka
*Shule 4 kila shule vutini 50
*Shule 6 kila shule vutini 30
I stand to be honest, Biashara ndio nimeianza nimepeleka sehemu mbili(2)....matokeo yakienda vizuri nitafaa kwenye Program yako.
Vitini navyouza hivi hapa
View attachment 1765424
View attachment 1765425
Nasubiri mrejesho ya mzigo wa kwanza.Iko vizuri,na inachukua muda gani mzigo kuisha?
Kwa kukadiria 500 inaweza kuchukua muda gani mpaka kuishaNasubiri mrejesho ya mzigo wa kwanza.
Kimsingi mzigo wa kwanza ndio leo siku ya kwanza kwenda sokoni...ila makadairio yangu ya makaratasi vitini 40 shule moja mwezi hauishi vinaisha...so suala sio idadi 500 suala umegawanya shule ngapi kwa hesabu za karatasi unaweza isha ndani ya mwezi ukiugawa shule 10...changamoto management i prefer maximum of 6 schools at once.Kwa kukadiria 500 inaweza kuchukua muda gani mpaka kuisha
Ok mkoa ganiKimsingi mzigo wa kwanza ndio leo siku ya kwanza kwenda sokoni...ila makadairio yangu ya makaratasi vitini 40 shule moja mwezi hauishi vinaisha...so suala sio idadi 500 suala umegawanya shule ngapi kwa hesabu za karatasi unaweza isha ndani ya mwezi ukiugawa shule 10...changamoto management i prefer maximum of 6 schools at once.
DSMOk mkoa gani
Nitakutafuta
NzuriNitakutafuta
Chief hili jambo likienda sawa,tafadhali nijulishe na mie naweza nikajumuika kidogo hapoVITINI
100,000 naongeza kwenye Biashara yangu ya vitini.
100,000 Tzs na Publish vitini 200 kila kitini kwa 500 Tzs.
Kitini kimoja nauza 1,500 Tzs sawa na 300,000 Tzs kwa vitini 200.
300,000(mauzo)-100,000(mtaji)= 200,000 Faida.
Yangu 120,000 Tzs
Yako 80,000 Tzs
Vitini 200 napeleka
*Shule 4 kila shule vutini 50
*Shule 6 kila shule vutini 30
I stand to be honest, Biashara ndio nimeianza nimepeleka sehemu mbili(2)....matokeo yakienda vizuri nitafaa kwenye Program yako.
Vitini navyouza hivi hapa
View attachment 1765424
View attachment 1765425
SawaChief hili jambo likienda sawa,tafadhali nijulishe na mie naweza nikajumuika kidogo hapo
Brother umetumia hakili sana, usiache kutupa mrejesho.VITINI
100,000 naongeza kwenye Biashara yangu ya vitini.
100,000 Tzs na Publish vitini 200 kila kitini kwa 500 Tzs.
Kitini kimoja nauza 1,500 Tzs sawa na 300,000 Tzs kwa vitini 200.
300,000(mauzo)-100,000(mtaji)= 200,000 Faida.
Yangu 120,000 Tzs
Yako 80,000 Tzs
Vitini 200 napeleka
*Shule 4 kila shule vutini 50
*Shule 6 kila shule vutini 30
I stand to be honest, Biashara ndio nimeianza nimepeleka sehemu mbili(2)....matokeo yakienda vizuri nitafaa kwenye Program yako.
Vitini navyouza hivi hapa
View attachment 1765424
View attachment 1765425
Tutafutane tupeane mbinuKuna mashine X sababu ya kusafisha vitu X na inakuja complete pieces mbili kuunga hiyo kufanya kazi lakini kwa uhakika hatuwezi shindwa kutengeneza 100k-300k per day kwa research yangu provided marketing strategies nzuri nataka kuunga nguvu kwenye ili provided 50/50 share.
Kuhusu ajira tunaweza tengeneza kwq kazi moja up to 3 personal apart from official personal tuanzie hapo kwanza kwa maelezo zaidi tujadiliane, total cost ya machine 2M complete hii ni machine ndogo kwa kubwa ni kichwa kitaitajika which costs around 400k targets itakuwa malls na uwanja makubwa.