Wenyeji Mpooo!!!

Wenyeji Mpooo!!!

Ligogoma

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2010
Posts
3,503
Reaction score
6,415
Habari wana JF?
Ndiyo kwanza najiunga humu ndani baada ya kuwa natembelea tuu na hatimaye kunogewa! Natumai kupata ideas mupya, challenge na mambo mengine mengine mengiii!
Hodi jamani mwenzenu ndiyo naingia rasmi and i`m happy to be here!
Thanx very much
 
Ndugu
mimi nakukaribisha!

Lakini nina mawili matatu!
Nategemea umekuja kwa mema tu!, na nia yako ni kubadilishana mawazo!
Hongera, naona umejifunza haraka kuweka picha yako!...we mtundu eeh!

Karibu tena, wenyeji wanakupenda na kukujua!
 
Umeingia kabla hujakubaliwa na mlango ulioingilia siyo huo Please 2mia mlango wa kuingilia
 
Umeingia kabla hujakubaliwa na mlango ulioingilia siyo huo Please 2mia mlango wa kuingilia

Nionyeshe huo mlango, coz naamini nilivyoingia ndivyo sahihi. Niweke sawa kuwa njia sahihi ni ipi!!!
 
Ndugu
mimi nakukaribisha!

Lakini nina mawili matatu!
Nategemea umekuja kwa mema tu!, na nia yako ni kubadilishana mawazo!
Hongera, naona umejifunza haraka kuweka picha yako!...we mtundu eeh!

Karibu tena, wenyeji wanakupenda na kukujua!

Yap! Nia ni njema kabisa na si vingine mkuu! Thank you sana

Aaah! Computer ni kuijua na kufuata maelekezo yake, mie kazi zangu hutegemea zaidi computer nadhani imenisaidia kuielewa vizuri kidogo. Bado kuna mengi yamenishinda yakiwemo kuweka msg chini mfano yako inasema Whoever Knows Everything Is Expert In Nothing.
 
Back
Top Bottom