Wenyeji mpoooooooo??????

Wenyeji mpoooooooo??????

htolerate

New Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
4
Reaction score
0
HI FRIENDS>
HOPE MAMBO IPO POA BWAAANA.MM NAITWA HERBERTH TOLERATE.
USER NAME YANGU ITAKUWA htolerate.
nafurahi kujoin hii forum coz i hope iko na wakongwe kibao.na sisi serengeti boys tutapata mahali ya kujifunza kitu kwa benefit yetu na kwa society yetu.
big up kwa wote mliojoin forum hii.
mwisho ni mahali nzuri ya kubadilishana mawazo,kuelimishana kuhusu mambo tofauti ya maisha especially ya ujasiriamali ambao ndio mwelekeo wetu sasa kama taifa.
poa bwaaaana msisite kucomment kwa page yangu bwaaaaaaana.au sio?
saa hizi mi njia moja kwa ujenz wa taifa.
have a day ,dada zangu na kaka zangu .
 
umetoa wapi hili jina TOLERATE? just curiosity
 
Back
Top Bottom