Wenyeji nikaribisheni

Wenyeji nikaribisheni

Diclopar

Member
Joined
May 11, 2015
Posts
7
Reaction score
1
Habari watu wa humu,

Mimi ni mgeni na jina langu ni kitulizo cha maumivu. Natumai kutuliza shida nyingi.

Asanteni
 
karibu lakini ujue kuna mabwana huku wana hisa ukienda wrong kidogo unashambuliwa kama mpira wa kona...
 
Habari watu wa humu,

Mimi ni mgeni na jina langu ni kitulizo cha maumivu. Natumai kutuliza shida nyingi.

Asanteni

Back to your wife!
Watu mnachange ID mnajiita wageni
 
Back to my wife ni post ya jana tu,

Nilipoomba nikaribishwe ni zaidi ya mwezi uliopita. Mi mgeni humu
 
Back
Top Bottom