Wenyeji wa Arusha, wapi nitapata koti zuri la 'fashion'?

Miiku

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
3,835
Reaction score
2,642
Wana Bodi Amani ya Bwana iwe Nanyi.
Nataka ni badilike kimuonekano wa kimavazi, niko Arusha ni wapi naweza kupata makoti mazuri ya Suti ya bei nzuri
kuvalia na kofia aina ya Spire mara moja moja!
mimi ni kijana wa Miaka 20+ nataka niwe Diplomatic kimavazi
 
Zipo sehemu nyingi tuu ngoja nkikumbuka ntarudi
Ila kuna fundi ni mwanaume anashona huyooo makoti ndo usiseme
 
Jengo mkabala na zamani shopright/Nakumat .... wana very classic suti hapo kwa bei poa, Muulizie dogo anaitwa Chuku. very nice, smart guy atakusaidia.
 
Zipo sehemu nyingi tuu ngoja nkikumbuka ntarudi
Ila kuna fundi ni mwanaume anashona huyooo makoti ndo usiseme
Naomba unipeleke na miye,maana kwa ulivyo chuchumaa kwenye Avatar utakuwa unamjua fundi mzuri kweli.😀😀😀
 
Sasa unataka nkupeleke uka chuchumae au ukashonewe coat
Ukanipime suti hasa huku miguuni sidhani fundi kama ataweza kuchuchumaa anipime ukiwepo kumsaidia itapendeza zaidi.
 
Sasa hujasema kama unataka full suit mii najua unataka coat tuu af pia fundi lazma ana msaidizi wake wa ku chuchumaa
 
Back
Top Bottom