Nenda pale picnic bar jirani kwa mrinaWana Bodi Amani ya Bwana iwe Nanyi.
Nataka ni badilike kimuonekano wa kimavazi, niko Arusha ni wapi naweza kupata makoti mazuri ya Suti ya bei nzuri
kuvalia na kofia aina ya Spire mara moja moja!
mimi ni kijana wa Miaka 20+ nataka niwe Diplomatic kimavazi
Wana Bodi Amani ya Bwana iwe Nanyi.
Nataka ni badilike kimuonekano wa kimavazi, niko Arusha ni wapi naweza kupata makoti mazuri ya Suti ya bei nzuri
kuvalia na kofia aina ya Spire mara moja moja!
mimi ni kijana wa Miaka 20+ nataka niwe Diplomatic kimavazi
Naomba unipeleke na miye,maana kwa ulivyo chuchumaa kwenye Avatar utakuwa unamjua fundi mzuri kweli.πππZipo sehemu nyingi tuu ngoja nkikumbuka ntarudi
Ila kuna fundi ni mwanaume anashona huyooo makoti ndo usiseme
Sasa unataka nkupeleke uka chuchumae au ukashonewe coatNaomba unipeleke na miye,maana kwa ulivyo chuchumaa kwenye Avatar utakuwa unamjua fundi mzuri kweli.πππ
Ukanipime suti hasa huku miguuni sidhani fundi kama ataweza kuchuchumaa anipime ukiwepo kumsaidia itapendeza zaidi.Sasa unataka nkupeleke uka chuchumae au ukashonewe coat
Sasa hujasema kama unataka full suit mii najua unataka coat tuu af pia fundi lazma ana msaidizi wake wa ku chuchumaaUkanipime suti hasa huku miguuni sidhani fundi kama ataweza kuchuchumaa anipime ukiwepo kumsaidia itapendeza zaidi.