NIOMBA MSAADA KUHUSU HILI TAZIZO ILA SIJAPATA UFUMBUZI. Ndugu wana sheria
naomba ufafanuzi juu
ya hili. Kuna kijana
kampa binti mimba na
walipogundulika
wakatoroka. Jambo
lakushangaza polisi
wamekwenda mpaka
kwenye familia ya yule
mvlana na kumkamata
mama yake mzazi kisha
kumuweka rokap na leo
ni siku ya 4 tangu
akamatwe. Pamoja na
hilo kijana amejipeleka
mwenyewe kituoni
lakini wamekataa
kumuachia mama yake.
Je kuna sheria inayo
sema mtoto akimpa
mimba mwenzie mzazi
akamatwe?