Wenyeji wa KATA ya Kinampnda!
Kuna shule huko nyumbani inaitwa Kinampanda SSekondari inatchafua jina letu,
Ni hizi shule zilizoanzishwa na Mkwere bila maandalizi!Hata iwe vipi wengi watoto wetu na wadogo zetu wanasoma pale .Kama mkakati wa kuondoa umaskini Kinampanda hatuna budi kuisadia shule hii kwa hali na mali.Tukikutana tuweke mkakati wa kuiganya iwe ST kinampnda...Nawasilsiha wazo hili...tafadhali mpe taarifa na mwenzako ,tukajenge kizazi cha kuing'oa CCM!
Shule ya kijijini kwangu ya kata ya mwanamwayo sec
DIV I = 0
DIV II = 0
DIV III = 0
DIV IV = 101
DIV 0 = 95
Wenyeji wa KATA ya Kinampnda!
Kuna shule huko nyumbani inaitwa Kinampanda SSekondari inatchafua jina letu,
Ni hizi shule zilizoanzishwa na Mkwere bila maandalizi!Hata iwe vipi wengi watoto wetu na wadogo zetu wanasoma pale .Kama mkakati wa kuondoa umaskini Kinampanda hatuna budi kuisadia shule hii kwa hali na mali.Tukikutana tuweke mkakati wa kuiganya iwe ST kinampnda...Nawasilsiha wazo hili...tafadhali mpe taarifa na mwenzako ,tukajenge kizazi cha kuing'oa CCM!
sasa si watafaulu kingereza huku kwingine swifuri kabisa ama kweli dunia ya tanzania si mchezo, kuwa kiongozi tz ni rahisi kama umonita wa darasa!tena mna advantage ya kuwa mbunge kijana mhe. Nchemba......jaribu kumtumia kuhamasisha uimarishaji wa hizo 'shule za msingi za kiingereza'
sasa si watafaulu kingereza huku kwingine swifuri kabisa ama kweli dunia ya tanzania si mchezo, kuwa kiongozi tz ni rahisi kama umonita wa darasa!