Wakuu kwema.!
Wiki ijaona natarajia kusafiri kwenda wilaya tajwa hapo juu natokea mvomero, Morogoro, nitakuwepo huko kwa siku 21
Naomba kuuliza machache,
Usafiri wa kwenda huko unaanzia Moro ama Dar kama natokea mvomero? Gari gani zinaenda huko? Nikiondoka asubuhi naweza kufika siku hiyo hiyo?
Nauli zikoje? Bajeti yangu ya chumba ni kati elf30 - 50 nitapata kweli?
Hali ya hewa na watu wake je?
Naombeni majibu wakuu.