Wenyeji wa mji wa Iringa msaada kwenye tuta

Mabilika

Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
52
Reaction score
32
nimeingia jion hapa Iringa,nimepokelewa na Mvua na baridi kiasi!! ni sehem zipi ninapoweza kwenda ku pre-empty hizi stress wakuu?
 
huwa napenda kuchangia pato la taifa kupitia zile amber colored bottles aisee!!
 
Nenda Gentle Hill, ila uwe na pesa ya kutosha

Makoyo mimi ni mnufaika wa bodi ya mkopo, Mtukufu ameshasign ile sheria ya 15%.wataalamu wa mahesabu wanasema 60% ya mshahara wangu ni makato ya PAYE,Nssf,et al.so hizo za mwendokasi itakuwa tabu aise
 
nipo sehem inaitwa vip wakuu, ts happenin tonight!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…