Wenyeji wa Mtaa Huu, nipokeeni mgeni wenu

Kigogo Jr

Member
Joined
Sep 5, 2019
Posts
36
Reaction score
61
Mwidiwe!!
Nimekuwa nikipita sana JF, hatimae Leo nimejiunga rasmi kutokea Kaskazini Magharibi mwa Tanzania. Nadhani hapa nilipo, wilaya yote hii Mimi ndiyo Wa Pili kujiunga Baada ya Diwani Wa Kata.

Naomba mnipokeee.
 
Karibu sana mkuu weka picha yako ukiwa umegeuka nyuma na mikono umenyosha juu
 
Usijekuwa una nyota kama ya kaka yako Kigogo. Yeye analalamika kwa kupigwa ban kila siku, yaani hata akiwasalimia mods anakula ban
 
Mwidiwe!!
Nimekuwa nikipita sana JF, hatimae Leo nimejiunga rasmi kutokea Kaskazini Magharibi mwa Tanzania. Nadhani hapa nilipo, wilaya yote hii Mimi ndiyo Wa Pili kujiunga Baada ya Diwani Wa Kata.

Naomba mnipokeee.
Wapi hiyo muzee?
 
Karibu

Back
Top Bottom