Wenyeji wa MWANZA Naomba kujuzwa, Machimbo ya Balo za viatu, Nguo za Special & Electronics kwa Jumla.

Pantomath

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
842
Reaction score
3,449
Dar, karume ndio Sehemu pekee niliyoizoea kwa ajili ya mzigo wa ku point, au mnazi mmoja kwa baloo..

Agree kwa electronics
Congo kwenye nguo, n.k

Mwanza sio mwenyeji kabisaa, kuna Goli nataka tufungue kule, lakini umbali wa Dar to Mwanza umekua kikwazo,

Kwahio wenyeji ningependa kujuzwa,
1. Kama hizo central zipo(najua haziwezi kua kubwa kamakza Dar) zipo maeneo gani?
2 Je wauzaji wa Mwanza mzigo nao wananunulia Dar au wanaagiza Nje pia?...

Lakini pia kwa uzoefu, Ushuri wako..
Jee hata kama zipo, jee ni bora tuu zaidi nikachukulia huku huku Dar au?

Very, very Seriously naombeni msaada wenu.
 
Nguo na viatu ni Lumumba , makoroboi na market street
Electronics rwegasore,karuta na Nyerere road
 
Dar, karume ndio Sehemu pekee niliyoizoea kwa ajili ya mzigo wa ku point, au mnazi mmoja kwa baloo..

Agree kwa electronics
Congo kwenye nguo, n.k

Mwanza sio mwenyeji kabisaa, kuna Goli nataka tufungue kule, lakini umbali wa Dar to Mwanza umekua kikwazo,

Kwahio wenyeji ningependa kujuzwa,
1. Kama hizo central zipo(najua haziwezi kua kubwa kamakza Dar) zipo maeneo gani?
2 Je wauzaji wa Mwanza mzigo nao wananunulia Dar au wanaagiza Nje pia?...

Lakini pia kwa uzoefu, Ushuri wako..
Jee hata kama zipo, jee ni bora tuu zaidi nikachukulia huku huku Dar au?

Very, very Seriously naombeni msaada wenu.
Lakin ni vyema ungefunga safari kufanya utafiti mwenyew vya kuambiwa sio vizuri sana
 
Kwa nguo special, ronya kutoka Kenya nicheck nikuunganishe. Au nikupe namba ya mtu alieko mwanza akuzingushe.
 
Back
Top Bottom