Wenyeji wa mwz, 40x40 twyford tiles ni bei gani?

Inategemeana na kiasi unachotaka kununua, na pia
1.unaenda kununua madukani kwa wauzaji wa kawaida.
2.unaenda Kwa mchina mwenyewe.
3. kama unataka kununua kwa dili a.k.a alizoibiwa mchina
4. Kama unanunua zile reject but zenye hali nzuri kwa almost 80%.
 
Aiseeee!
 
Back
Top Bottom