Inategemeana na kiasi unachotaka kununua, na pia
1.unaenda kununua madukani kwa wauzaji wa kawaida.
2.unaenda Kwa mchina mwenyewe.
3. kama unataka kununua kwa dili a.k.a alizoibiwa mchina
4. Kama unanunua zile reject but zenye hali nzuri kwa almost 80%.