Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Ingependeza kama ungesema kiwango cha bei nikupe machaka mazuri na ya karibu na mji au pembeni kidogoHbr za asubuhi wapendwa??,Next week nina safari ya kwenda Shinyanga mjini,Sasa kwa wenyeji wa mji huu naomba mniambie sehemu nzuri ya kulala (Guest house),ya bei ya kawaida lkn pawe na huduma za msosi na vinywaji, sehemu ambayo naweza kupunguza stress za maisha na safari.
Gharama ya chumba ianzie 30,000/=.Ingependeza kama ungesema kiwango cha bei nikupe machaka mazuri na ya karibu na mji au pembeni kidogo
Sawa MkuuWanakuja wakupe muongozo.
Kama hupend mikelele mingi , UNAWEZA ZAMA APO LIGA HOTEL,ndani ya Ngokolo,pia SIMEJ nako sio haba kama utaamua uchili apo LUBAGA UKABE WATOTO WA MAJENGO MAPYA USHUANI,Gharama ya chumba ianzie 30,000/=.
Hivi Karena hotel Ni sh. Ngapi Mkuu?Kama hupend mikelele mingi , UNAWEZA ZAMA APO LIGA HOTEL,ndani ya Ngokolo,pia SIMEJ nako sio haba kama utaamua uchili apo LUBAGA UKABE WATOTO WA MAJENGO MAPYA USHUANI,
Usichukue guest za katikati sana ya mji sio nzuri kivile kwa nature ya mazingira japo kwa huduma ziko safi kabisa
Mfano kutoka LUBAGA hadi stendi ya basi kwa Bodaboda ni Shilingi ngapi?.Kama hupend mikelele mingi , UNAWEZA ZAMA APO LIGA HOTEL,ndani ya Ngokolo,pia SIMEJ nako sio haba kama utaamua uchili apo LUBAGA UKABE WATOTO WA MAJENGO MAPYA USHUANI,
Usichukue guest za katikati sana ya mji sio nzuri kivile kwa nature ya mazingira japo kwa huduma ziko safi kabisa
2k haizdMfano kutoka LUBAGA hadi stendi ya basi kwa Bodaboda ni Shilingi ngapi?.
Hivyo vijiwe vina Madini??.Maganzo, Kolandoto, Kambarage
Stendi ziko mbili , yaani sehem mji uliko ni mbali sana na stendi ya MKOA ,NOW SHY TOWN KUNA STENDI TATU,IBINZAMATA hii kwa ajili ya magari ya nje ya mkoa ( masafa marefu).Mfano kutoka LUBAGA hadi stendi ya basi kwa Bodaboda ni Shilingi ngapi?.
Madini, Vyuo Kwahiyo Raha SanaHivyo vijiwe vina Madini??.
Sasa mkuu maganzo si kilomita karibu 50 toka town kama sio arobaini na yeye anataka town ,basi akakae ata KOLANDOTO TU SASA KWA WAKOMAMadini, Vyuo Kwahiyo Raha Sana
Ok!!, Nashukuru Mkuu Kwa Ufafanuzi.Stendi ziko mbili , yaani sehem mji uliko ni mbali sana na stendi ya MKOA ,NOW SHY TOWN KUNA STENDI TATU,IBINZAMATA hii kwa ajili ya magari ya nje ya mkoa ( masafa marefu).
Pia KUNA NGUZO NANE( stendi ya magari yanakwenda maeneo ya hapo hapo shy na viunga vyake) ,pia STENDI YA ZAMANI AMBAYO IKO katikati ya mji kwa ajili ya magari ya wilayani .
Nauli ukipigwa ni buku 2 kwa hio stend ua ibinzamata ila kwingine kama sio mvivu ata kutembea unatembea.
kumbuka shy kuna boda boda aka daladala za baiskeli nauli yake ni cheaper
Sawa Mkuu.Madini, Vyuo Kwahiyo Raha Sana
Ok, asante2k haizd
Liga hotel...nlilala hapo juzi pako vzuri kias chakeHabari za asubuhi wapendwa?
Next week nina safari ya kwenda Shinyanga mjini, Sasa kwa wenyeji wa mji huu naomba mniambie sehemu nzuri ya kulala (Guest house), ya bei ya kawaida lakini pawe na huduma za msosi na vinywaji, sehemu ambayo naweza kupunguza stress za maisha na safari.
Liga hotel...nlilala hapo juzi pako vzuri kias chake
Yeah!kuna shule mbili....pako vzur ..na huduma ziko poa...kumbe ni mwenyej wa hapo shy sio mkuu?Hhaaa , nimempa pande apo jirani na MAPINDUZI SHULE YANGU YA PRIMARY NOWDAYZ KUNA LAMI TUPU NIMEFIKA LAST YEAR