Patflax jr
Member
- Apr 11, 2011
- 72
- 1
heee....kama unamfahamu mamba...basi uwe na nidham...usije ukajitia Akida nayaweza....mbona utajibeba....
Jamani mimi nipo Ukerewe, msimtishe mwenzenu. Patflax hongera na karibu sana ukerewe. Kwanza unaenda ukerewe ya wapi? I mean umepangiwa kazi wapi? nijulishe ili tuone namna gani tutakukaribisha. Karibu sana ndugu mwenyeji nipoNitasimama imara na kwa miguu miwil kamanda I WILL NEVA GIV UP TILL I SUCCESSED IN MA LYF. Na bado mahudhurio jf hayatakatika
Preta tutake radhi, acha kutuchafulia visiwa vyetuheee....kama unamfahamu mamba...basi uwe na nidham...usije ukajitia Akida nayaweza....mbona utajibeba....
wakuu, kwanza napenda nimshkuru allah kwa kunijalia kupata ajira.
Pili wanajamvi wenzangu naomba mnisaidie niweze kupafaham huko ukerewe kwa wale wenye kupajua coz nimepangiwa kwenda kufanya kaz huko kwenye visiwa vya ukerewe mwanza. Lakn marafik zang wananivunja moyo kwa kunipa habar za kutisha kuhusu visiwa hvyo.msaada plz. Naomba kuwasilisha
Maringo hayakubaliki sehemu yoyote ile dunianiukerewe safi sana, unakula samaki kila aina, tena kwa bei nzuri, cha msingi usipende dogodogo, wacha maringo ishi na watu vizuri. Ukijifanya unajua, mamba anakuja kukuchukua mchana kweupe unapotea kihivyo
Jamani mimi nipo Ukerewe, msimtishe mwenzenu. Patflax hongera na karibu sana ukerewe. Kwanza unaenda ukerewe ya wapi? I mean umepangiwa kazi wapi? nijulishe ili tuone namna gani tutakukaribisha. Karibu sana ndugu mwenyeji nipo
ukerewe safi sana, unakula samaki kila aina, tena kwa bei nzuri, cha msingi usipende dogodogo, wacha maringo ishi na watu vizuri. Ukijifanya unajua, mamba anakuja kukuchukua mchana kweupe unapotea kihivyo