Wenyenyuma Wasumbufu watajwe

Wenyenyuma Wasumbufu watajwe

Selwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
583
Reaction score
590
Habari Wananchi, nimekuwa na wazo kwamba tuweze kuwareport wenyenyumba wasumbufu either hapa hapa au tufungue telegram. Mtu akiwa anapanga nyumba acheki telegram na thread afanye maamuzi sahihi ila tuwe na uthibitisho pia.

Nimekutana na sakata moja la mwenyenyumba msumbufu sana. Ana lugha za vitisho na kejeli, kudai fedha kabla ya tarehe na kukataa kufanya marekebisho madogo madogo. Mara nyingi imebidi tu niwahamishe watu sababu ya adha hio (sio mimi naekaa kwa hizo nyumba) hivi hamna bodi kuwashtaki hawa wenyenyumba? Kwakweli sijawaho kuta mwenye nyumba mstaarabu hata mmoja, nashangaa sana, hata me nina nyumba napangisha ila mbona wateja wangu nawatreat kifalme sana ila doh wenyenyumba wengine ni mtihani sana, kama serikali haina namna kutusaidia vipi tuungane wenye tushushe thread ya wenyenyumba wasumbufu tuwatake hapa
 
Back
Top Bottom