Ingekuwa mikutano ya kile chama..., [emoji12][emoji12]IGP Siro na Ma - RPC wameonyesha kufeli katika kusimamia sheria. Bila kuwa na law enforcement suala la wamachinga halitakoma. Pamoja na Mh. Rais Mama Samia kusema waondolewe kiungwana,sheria pia inaweza ikafanywa kiungwana kumaliza tatizo.