Wenyeviti wa mitaa wa Jimbo la Temeke, Dar es Salaam, wameungana kwa pamoja kumuombea dua Rais Samia Suluhu Hassan kwa lengo la kumtakia afya njema, hekima na uongozi mwema ili aendelee kuiongoza nchi kwa amani na kuleta maendeleo.

Nimeacha kutazama aliposema nchi yetu amani ilivyo. Quran, Biblia na vitabu vingine vipo ila watanzania wanamuabudu shetani huku wakijivika hizi imani. Hawa ndiyo akina FaizaFixyFaizaFoxy .Awamu ya 5 walipouwawa watu si sawa, ila awamu ya sita wakipotezwa na kuuliwa aaah, amani tele