Don Gorgon
Member
- Nov 21, 2024
- 35
- 68
Wenyeviti wa mitaa wateule 106 na wajumbe 530 kutoka katika kata 20 za Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, wameapishwa leo Novemba 28, 2024 katika Ukumbi wa Soko Kuu la Magomeni.
Akizungumza katika hafla ya kuwaapisha viongozi hao, Msimamizi wa Uchaguzi wa Manispaa ya Kinondoni ambaye pia ni Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Hanifa Hamza amewatakia heri viongozi hao katika kazi zao na pia kawataka wakatimize kazi zao kwa uadilifu na kwa uaminifu mkubwa.
PIA SOMA
- LGE2024 - Wenyeviti wateule 106 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuapishwa Kinondoni