Wenyeviti wa vijiji na vitongoji ndio watekelezaji wakuu wa ilani ya CCM, Lini wataanza kulipwa mishahara?

Wenyeviti wa vijiji na vitongoji ndio watekelezaji wakuu wa ilani ya CCM, Lini wataanza kulipwa mishahara?

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2019
Posts
9,863
Reaction score
20,806
Hawa watu nimeona wanasaga soli za viatu wakiwa na makada wa chama wa CCM wilaya na mkoa, hawana posho wala mishahara na ndio engine ya utekelezaji wa ilani yetu ya uchaguzi!!

Ni lini Serikali itaanza kuziona juhudi zao na kuwalipa mishahara na posho!!?

Mheshiniwa ukishindwa wewe kuwalipa sidhani kama Kuna mwingine anaweza kuja kulipa labda Mimi.

Hebu liangalie hilo hao ndio wanaleta kura zetu zinazotupa Dola Kila uchaguzi.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Back
Top Bottom