Wenyeviti wa vyama vingne vya upinzani mnasubiri nini kujitokeza hadhani ku support No Reform, No Election

Wenyeviti wa vyama vingne vya upinzani mnasubiri nini kujitokeza hadhani ku support No Reform, No Election

Mende mdudu

Senior Member
Joined
Feb 13, 2023
Posts
111
Reaction score
223
Wenye viti wa vyama vingne vya upinzani mna subiri nini kujitokeza hadhani ku support NO REFORM, NO ELECTION.

Mzee wa ubwabwa, Act wazalendo, cuf, nk
 
Wenye viti wa vyama vingne vya upinzani mna subiri nini kujitokeza hadhani ku support NO REFORM, NO ELECTION.

Mzee wa ubwabwa, Act wazalendo, cuf, nk
Ni sawa na kutaka vyama vingine viungane katika muungano wa mwavuli wa chama ulioasisiwa na CHADEMA....hakuna mwenye akili njema ATAKUBALI.....

Historia ya UKAWA iliwafundisha kuwa CHADEMA ni bingwa wa "kukhalifu" makubaliano.......vyama vile vingine viligeukwa na CDM wakasimamisha WAGOMBEA hata maeneo waliyokuwa ni DHAIFU......

Ukilinganisha WAZO la UKAWA linaweza kuwa bora maradufu kuliko hili la "NRNE".....

NRNE ni wazo dhaifu sana kwani halina MERITS za kisheria ,limekaa KIHARAKATI....tena zile harakati za migomo ya WANAFUNZI VYUO VIKUU.....TL amejidogosha sana kwani sikutegemea atakuja mbele ya hadhira na "utopian ideas" hizi.....

*NRNE-supporters"ni kipimo kizuri cha kuendelea kuvihesabu vyama dhaifu kifikra nchini.......
 
Back
Top Bottom