Ni sawa na kutaka vyama vingine viungane katika muungano wa mwavuli wa chama ulioasisiwa na CHADEMA....hakuna mwenye akili njema ATAKUBALI.....
Historia ya UKAWA iliwafundisha kuwa CHADEMA ni bingwa wa "kukhalifu" makubaliano.......vyama vile vingine viligeukwa na CDM wakasimamisha WAGOMBEA hata maeneo waliyokuwa ni DHAIFU......
Ukilinganisha WAZO la UKAWA linaweza kuwa bora maradufu kuliko hili la "NRNE".....
NRNE ni wazo dhaifu sana kwani halina MERITS za kisheria ,limekaa KIHARAKATI....tena zile harakati za migomo ya WANAFUNZI VYUO VIKUU.....TL amejidogosha sana kwani sikutegemea atakuja mbele ya hadhira na "utopian ideas" hizi.....
*NRNE-supporters"ni kipimo kizuri cha kuendelea kuvihesabu vyama dhaifu kifikra nchini.......